Friday, October 20, 2017

MRADI MKUBWA WA URANIUM WA MTO MKUJU NI MKUBWA SANA DUNIANI




 Tanzania ya anza kunifaika na Madini yaliyopo Nchini.


Tanzania inatarajiwa kuwa nchi kubwa tano kwa uzalishaji wa madini ya Uranium Afrika baada ya kukamilika kwa mradi wa Uranium wa Mto Mkuju. Mradi huu ulianza miaka 7 iliyopita na tafiti nyingi imekamilika na unaanza utekelezaji wake (Mr Shotov) mradi huu utakuza uchumi wa taifa na kuelekea Tanzania ya neema huku ikiajiri watanzania Zaidi ya 1600.
Huu ni mmoja ya miradi inayotoa ahadi nzuri duniani kwa uranium safi na bora, mradi unaendeshwa na kampuni ya MANTRA ukizungumza Mkurungezi mkuu (Mr Frederick Kibodya)
Tunatakiwa kulinda rasilimali ya nchi hii kwa gharama yoyote kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa na standard ni 50% kwa 50%.

0 comments: